Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Hanse
Hanse (Kijerumani:die Hanse, Kiholanzi: de Hanze,Kisweden: Hansan, ing.Hanseatic League) ilikuwa shirikisho la miji ya biashara katika Ulaya ya Kaskazini na hasa ushirikiano wa wafanyabiashara wa miji hii.