Harrisburg | |
Mahali pa mji wa Harrisburg katika Marekani |
|
Majiranukta: 40°16′11″N 76°52′32″W / 40.26972°N 76.87556°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Pennsylvania |
Wilaya | Dauphin |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 47,196 |
Tovuti: www.harrisburgpa.gov |
Harrisburg ndiyo mji mkuu katika jimbo la Pennsylvania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 530,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 98 kutoka juu ya usawa wa bahari.