Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Hori

Hori ya Baracoa nchini Kuba

Hori ni sehemu ya mwambao wa bahari au ziwa inayozungukwa na nchi kavu pande tatu. Ni kidogo kuliko ghuba, mara nyingi husababishwa na mdomo mto kwenye bahari na kuelekea ndani ya bara.

Hori mara nyingi ni mahali pazuri kwa ajili ya bandari asilia kwa sababu imelindwa kisi na nguvu ya mawimbi.

Makala hii kuhusu "Hori" inatumia neno au maneno ambayo si ya kawaida; matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.


Previous Page Next Page






Badía AN خليج صغير Arabic ܒܪܩܩܐ ARC Badea AST Ҡултыҡ BA Celuk BAN Īlinkė BAT-SMG Suba' BCL Заліў BE Затока BE-X-OLD

Responsive image

Responsive image