Hotuba (kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza: discourse) ni aina rasmi ya mawasiliano inayotumia lugha kwa namna maalumu ya dini, siasa, sayansi n.k. kadiri ya mazingira na walengwa[1]
Katika Injili, ni maarufu Hotuba ya mlimani ya Yesu.