| |||||
Kaulimbiu ya taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: Himnusz ("Isten, áldd meg a magyart") "Wimbo" ("Mungu wabariki Wahungaria wote") | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Budapest | ||||
Mji mkubwa nchini | Budapest | ||||
Lugha rasmi | Kihungaria (Magyar) | ||||
Serikali | Serikali ya kibunge Jamhuri Tamás Sulyok Viktor Orbán | ||||
Uhuru Principality of Hungary Ufalme wa Hungaria Kuachana kwa Milki ya Austria-Hungaria Jamhuri ya Hungaria |
896 Desemba 1000 1918 1989 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
93,030 km² (ya 109) 0.74% | ||||
Idadi ya watu - 2024 kadirio - 2023 sensa - Msongamano wa watu |
9,580,000 (ya 95) 9,599,744 103/km² (ya 78) | ||||
Fedha | Forint ya Hungaria (HUF )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .hu 1 | ||||
Kodi ya simu | +36
| ||||
1 pia .eu kama nchi ya Umoja wa Ulaya |
Hungaria (kwa Kihungaria Magyarország) ni nchi ya Ulaya ya Kati yenye wakazi milioni 10 wanaozidi kupungua.
Imepakana na Austria, Slovakia, Ukraine, Romania, Serbia, Kroatia na Slovenia.
Mji mkuu ni Budapest. Miji mingine muhimu ni Miskolc, Debrecen, Szeged, Pécs, Győr na Szolnok.
Kihungaria ndiyo lugha rasmi na ya kawaida kwa wananchi.
Wakazi walio wengi (52.9%) ni Wakristo. hasa Wakatoliki (37.4%) na Wakalvini (11.1%).