Idadi ni jumla ya viumbehai, vitu au mambo yanayohesabika.
Ujuzi wa idadi ni muhimu katika fani nyingi, kwa mfano takwimu.
Ndiyo sababu tangu zamani nchi nyingi zinapiga sensa ya watu, ya wanyama n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Idadi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |