Kwa maana mbalimbali za jina Israeli katika Biblia tazama Israeli (maana)
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: - | |||||
Wimbo wa taifa: Hatikvah ("Tumaini") | |||||
Mji mkuu | Yerusalemu1 | ||||
Mji mkubwa nchini | Yerusalemu | ||||
Lugha rasmi | Kiebrania, Kiarabu | ||||
Serikali | Jamhuri, serikali ya kibunge Isaac Herzog (יצחק הרצוג) Benjamin Netanyahu (בנימין נתניהו) | ||||
Uhuru Tangazo la uhuru |
14 Mei 1948 (05 Iyar 5708) | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
20,770 km² (ya 153) ~2 | ||||
Idadi ya watu - Desemba 2016 kadirio - 2008 sensa - Msongamano wa watu |
8,602,0002 (ya 96) 7,412,200 391/km² (ya 35) | ||||
Fedha | Shekel (₪) (ILS )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
IST (UTC+2) (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .il | ||||
Kodi ya simu | +972
| ||||
1 Haujatambuliwa kama mji mkuu na nchi nyingi duniani. 2 pamoja na raia wa Iaraeli kwenye maeneo ya Palestina, Yerusalemu ya Mashariki na Golan. |
Israel (kwa Kiebrania: מדינת ישראל - Medinat Yisra'el; kwa Kiarabu: دَوْلَةْ إِسْرَائِيل - dawlat Isrā'īl) ni nchi ya Mashariki ya Kati kwenye mwambao wa mashariki wa Mediteranea.
Imepakana na Lebanon, Syria, Yordani, Misri na maeneo yaliyo chini ya mamlaka ya serikali ya Palestina.