Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Istilahi

Istilahi (kutoka Kiar. اصطلاح‌, Kiing. term, terminology) ni neno ambalo linawakilisha dhana fulani katika fani maalumu ya elimu kama vile siasa, sayansi, uchumi, ufundi, dini au hisabati. Ni pia elimu inayochunguza matumizi ya istilahi.

Istilahi za fani mbalimbali hutajwa kwa kutumia maneno ambayo yanaweza kuwa na maana tofauti katika lugha ya kila siku au katika kawaida ya fani nyingine.


Previous Page Next Page






علم المصطلحات Arabic Terminologiya AZ পরিভাষা Bengali/Bangla Terminologia Catalan Terminologie Czech Terminologi Danish Terminologielehre German Terminology English Terminologio EO Terminología Spanish

Responsive image

Responsive image