Italia Kaskazini ni sehemu ya Italia bara[1] inayoundwa na mikoa ya Emilia-Romagna, Friuli-Venezia Giulia, Liguria, Lombardia, Piemonte, Trentino-Alto Adige, Valle d'Aosta na Veneto.
Kwa jumla ni km2 120,260 na wakazi 27,801,460[2] Ni asilimia 46 za wakazi wote wa Italia, lakini wanazalisha 59,4% za mapato yake.