Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Ivuna

Kata ya Ivuna
Nchi Tanzania
Mkoa Songwe
Wilaya Momba
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 26,793

Ivuna ni kata ya Wilaya ya Momba katika Mkoa wa Songwe, Tanzania. Msimbo wa posta ni 53907.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 26,793 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 31,254 [2] walioishi humo.

Jina la Ivuna linajulikana kimataifa hasa kutokana na Kimondo cha Ivuna ambacho ni jiwe kubwa la kilogramu 0.7 lililoanguka hapa kwenye Disemba ya mwaka 1938, likiwa ni mfano haba sana wa vimondo vilivyoundwa kwenye anga-nje wakati wa kutokea kwa mfumo wa Jua, kwa hiyo hutazamwa kuwa na umri mkubwa kushinda Dunia[3]

  1. https://www.nbs.go.tz, uk 231
  2. "Sensa ya 2012, Mbeya - Momba DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-15.
  3. A. J. King1†, K. J. H. Phillips1*, S. Strekopy: Terrestrial modification of the Ivuna meteorite and a reassessment of the chemical composition of the CI type specimen, Geochimica et Cosmochimica Acta 2019, tovuti ya Cornell University

Previous Page Next Page






Ivuna CEB Ivuna English Ivuna HA Ivuna Italian Ivuna TW

Responsive image

Responsive image