Jefferson City | |||
| |||
Majiranukta: 38°34′36″N 92°10′25″W / 38.57667°N 92.17361°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Missouri | ||
Wilaya | Callloway Cole |
||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 40,771 | ||
Tovuti: http://www.jeffcitymo.org/ |
Jefferson City ni jina la mji mkuu wa jimbo la Missouri huko nchini Marekani. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 41,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 192 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 73.2 km².