Jimbo Kuu la Mbeya (kwa Kilatini "Archidioecesis Mbeyaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 35 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linasimamia jimbo Katoliki la Iringa, Jimbo Katoliki la Sumbawanga na Jimbo Katoliki la Mafinga.
Askofu mkuu wake wa kwanza amechaguliwa Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga tarehe 21 Desemba 2018.