Jimbo la Niger Jina la kiutani: The Power State | ||
Mahali pa jimbo nchini | ||
---|---|---|
Takwimu | ||
Gavana (Orodha) |
Mu'azu Babangida Aliyu (PDP) | |
Tarehe ya kuanzishwa | 3 Februari 1976 | |
Mji mkuu | Minna | |
Eneo | 76,363 km ² Lina orodheshwa la kwanza | |
Idadi ya wakazi Sensa ya 1991 2005 makadirio |
Liliorodheshwa la 18 2,482,367 4,082,558 | |
GDP (PPP) -Jumla -Per capita |
2007 (makadirio) $ 6.00 bilioni [1] $ 1,480 [1] | |
ISO 3166-2 | NG-NI |
Jimbo la Niger ni jimbo lililoko upande wa magharibi mwa nchi ya Nigeria na ndilo jimbo kubwa nchini humo.
Mji mkuu wake ni Minna na miji mikubwa mingine ni Bida, Kontagora na Suleja. Liliundwa mwaka wa 1976 wakati Jimbo la Kaskazini Magharibi liligawanywa na kuunda majimbo ya Sokoto na Niger.
Jina la jimbo hili linatokana na Mto Niger, mbili kati ya stesheni kubwa za kutengezea nguvu za umeme za Nigeria. Bwawa la Kainji na Bwawa la Shiroro ziko katika Jimbo hili. Pia kuna Mbuga ya Kitaifa ya Kainji iliyo kubwa zaidi nchini Nigeria na ina Ziwa Kainji.