Oromiyaa Jimbo la Oromia |
|||
| |||
Mahali pa jimbo la Oromia katika Ethiopia | |||
Nchi | Ethiopia | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Adama | ||
Eneo | |||
- Jumla | 353,362 km² | ||
Idadi ya wakazi (2007) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 27,158,471 |
Jimbo la Oromia (kwa Kioromo: Oromiyaa) ni moja ya majimbo 12 ya kujitawala ya Ethiopia.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 27,158,471, hivyo linaongoza nchini kwa ukubwa wa eneo na kwa idadi ya watu.
Makao makuu ni Adama.