John Tyler | |
Muda wa Utawala Aprili 4, 1841 – Machi 4, 1845 | |
mtangulizi | William Henry Harrison |
aliyemfuata | James K. Polk |
Muda wa Utawala Machi 4, 1827 – Februari 29, 1836 | |
mtangulizi | John Randolph |
aliyemfuata | William Cabell Rives |
tarehe ya kuzaliwa | Charles City County, Virginia, Marekani | Machi 29, 1790
tarehe ya kufa | 18 Januari 1862 (umri 71) Richmond, Virginia |
mahali pa kuzikiwa | Hollywood Cemetery (Richmond, Virginia) |
watoto | 15 |
mhitimu wa | The College of William & Mary |
Fani yake | Mwanasiasa Wakili |
signature |
John Tyler (29 Machi 1790 – 18 Januari 1862) alikuwa Rais wa kumi wa Marekani kuanzia mwaka wa 1841 hadi 1845. Alikuwa Kaimu Rais wa William Henry Harrison aliyefariki madarakani baada ya mwezi mmoja tu.