Josephat Njuguna Karanja (5 Februari 1931 – 28 Februari 1994) alikuwa makamu wa tano wa rais katika jamhuri ya Kenya kati ya 1988 na 1989.[1]