Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kalenda ya Gregori

Papa Gregori XIII anapokea mpango wa kalenda mpya kutoka kamati yake (uchongaji wa jiwe kwenye kaburi la Papa katika Basilika la Mt. Petro kwenye Vatikani.

Kalenda ya Gregori ni kalenda ambayo leo inatumiwa zaidi kimataifa. Jina limetokana na Papa Gregori XIII aliyeamua kutumia kalenda hiyo tangu tarehe 15 Februari 1582 badala ya Kalenda ya Juliasi.


Previous Page Next Page