Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kampuni

Kampuni (kutoka Kiingereza "company") ni asasi au shirika linalotambuliwa kisheria ambalo limeundwa kwa ajili ya kuunda au kuuza bidhaa na / au huduma kwa wateja[1] na linashughulika na aina yoyote ya biashara.

Ufafanuzi wa neno na taratibu za sheria hutofautiana nchi kwa nchi. Kwa ujumla, kampuni shirika la biashara linalotengeneza bidhaa kwa namna iliyopangwa na kuziuza kwa umma ili kupata faida.

Kampuni inaweza kuajiri watu kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo.

Kampuni zinapatikana sana katika uchumi wa kibepari, nyingi zikiwa zinamilikiwa na watu binafsi kwa ajili ya kupata faida ambayo itaongeza mali ya wamiliki wake na kuikuza biashara yenyewe. Wamiliki na wahudumu wa biashara huwa na lengo mojawapo kuu kama kupata mapato ya kifedha kutokana na kazi wanayoifanya napia kwa sababu ya kukubali kujiingiza kwenye hatari ya kufanya biashara. Baadhi ya kampuni ambazo malengo yake siyo kama yale yaliyosemwa hapo juu ni kama vyama vya ushirika na kampuni zinazomilikiwa na serikali.

Biashara pia inaweza kuanzishwa bila kusudi la kupata faida au biashara inayomilikiwa na serikali.

  1. Sullivan, arthur (2003). Economics: Principles in action. Upper Saddle River, New Jersey 07458: Prentice Hall. uk. 29. ISBN 0-13-063085-3. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-20. Iliwekwa mnamo 2021-02-24. {{cite book}}: Unknown parameter |coauthors= ignored (|author= suggested) (help); Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: location (link)

Previous Page Next Page






Maatskappy AF شركة Arabic شركة ARY Şirkət AZ شیرکت AZB Фірма BE Matskepé BEW Търговско дружество Bulgarian কোম্পানি Bengali/Bangla Kompanija BS

Responsive image

Responsive image