Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Katiba ya Kenya

Katiba ya Kenya ndiyo sheria kuu kabisa ya Jamhuri ya Kenya. Katiba ya mwaka 2010 ilichukua nafasi ya katiba ya wakati wa uhuru ya mwaka 1963.

Katiba hiyo alipatiwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya tarehe 7 Aprili 2010, ikachapishwa rasmi tarehe 6 Mei 2010 na kuwekewa kura ya maoni tarehe 4 Agosti 2010[1].

Ilipitishwa kwa kura 67%[2] na kutangazwa tarehe 27 Agosti 2010[3].

  1. "Kenya referendum date set", Daily Nation, 14 Mei 2010
  2. "New Kenyan Constitution Ratified" Ilihifadhiwa 27 Agosti 2010 kwenye Wayback Machine.. Voice of America. 6 Agosti 2010. Ilipatikana 6 Agosti 2010.
  3. "Institutional Reform in the New Constitution of Kenya", International Center for Transitional Justice (ICTJ)

Previous Page Next Page






Constitució de Kenya Catalan Constitution of Kenya English Constitución de Kenia Spanish Constitution du Kenya French Konstitusi Kenya ID კენიის კონსტიტუცია KA Konstytucja Kenii Polish

Responsive image

Responsive image