Kaunti ya Garissa | |
---|---|
Kaunti | |
Msikiti wa Jamia, Garissa | |
Garissa County in Kenya.svg Kaunti ya Garissa katika Kenya | |
Coordinates: 0°27′25″S 39°39′30″E / 0.45694°S 39.65833°E | |
Nchi | Kenya |
Namba | 7 |
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 |
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Kaskazini Mashariki |
Makao Makuu | Garissa |
Miji mingine | Dadaab, Hagadera, Ijara |
Gavana | Ali Bunow Korane |
Naibu wa Gavana | Abdi Muhumed Agane |
Seneta | Mohamed Yusuf Haji |
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) | Anab Mohamed Gure |
Bunge la Kaunti | Bunge la Kaunti ya Garissa |
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa | 30 |
Maeneo bunge/Kaunti ndogo | 6 |
Eneo | km2 44 736 (sq mi 17 273) |
Idadi ya watu | 841,353[1]. |
Wiani wa idadi ya watu | 19 |
Kanda muda | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) |
Tovuti | garissa.go.ke |
Kaunti ya Garissa ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 841,353 katika eneo la km2 44,736, msongamano ukiwa hivyo wa watu 19 kwa kilometa mraba[2]..
Kaunti ya Garissa ni makazi ya wakimbizi zaidi ya 260,000. Kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyo katika kaunti hii ndio kubwa zaidi Kenya.
Makao makuu yako Garissa.