Kaunti ya Vihiga ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 590,013 katika eneo la km2 563.8, msongamano ukiwa hivyo wa watu 1,047 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Vihiga.