Kaunti ya Wajir | |||
---|---|---|---|
Kaunti | |||
Uwanja wa ndege wa Wajir | |||
| |||
Wajir County in Kenya.svg![]() Kaunti ya Wajir katika Kenya | |||
Coordinates: 1°44′50″N 40°04′08″E / 1.74722°N 40.0689°E | |||
Nchi | ![]() | ||
Namba | 8 | ||
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 | ||
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Kaskazini Mashariki | ||
Makao Makuu | Wajir | ||
Miji mingine | Habaswein, Tarba | ||
Gavana | Balozi Mohamed Abdi Mahamud EGH | ||
Naibu wa Gavana | Ahmed Muktar Ali | ||
Seneta | Abdullahi Ibrahim Ali | ||
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) | Fatuma Gedi Ali | ||
Bunge la Kaunti | Bunge la Kaunti ya Wajir | ||
Eneo | km2 56 773.1 (sq mi 21 920.2) | ||
Idadi ya watu | 781,263[1]. | ||
Wiani wa idadi ya watu | 14 | ||
Kanda muda | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) | ||
Tovuti | wajir.go.ke |
Kaunti ya Wajir ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 781,263 katika eneo la km2 56,773.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 14 kwa kilometa mraba[2]..
Makao makuu yako Wajir.