Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Khartoum (jimbo)

15°47′N 32°43′E / 15.783°N 32.717°E / 15.783; 32.717

Khartoum katika Sudan

Khartoum (pia Al Khartum) (Kar. الخرطوم ) ni moja ya majimbo (wilayat) 25 ya Sudan. Lina ukubwa wa eneo la 22,122 km 2 na wakazi wanaokadiriwa kuwa 4,700,000 (2000). Mji mkuu wa jimbo ni mji mkuu wa kitaifa.


Previous Page Next Page