Kialbania (kwa Kialbania shqip au kirefu gjuha shqipe) ni lugha ya pekee kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya.
Kinatumiwa na watu milioni 5 hivi hasa Ulaya Kusini.
Ni lugha rasmi nchini Albania, Masedonia Kaskazini na Kosovo.