Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kibembe

Kibembe ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabembe. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibembe nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 252,000. Pia kuna wasemaji nchini Tanzania. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibembe iko katika kundi la D50.


Previous Page Next Page






Γλώσσα Μπέμπε (Ιμπέμπε) Greek Bembe language (Ibembe) English Bembe (langue) French Bembe jezik Croatian Język bembe Polish Lenga Bembe PMS

Responsive image

Responsive image