Kigoma Ujiji | |
Mahali pa Kigoma katika Tanzania |
|
Majiranukta: 4°52′48″S 29°36′36″E / 4.88000°S 29.61000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kigoma |
Wilaya | Manisipaa ya Kigoma Ujiji |
Idadi ya wakazi (2022) | |
- Wakazi kwa ujumla | 232,388 |
Kigoma Ujiji ni manispaa katika Mkoa wa Kigoma nchini Tanzania na makao makuu ya mkoa huo yenye msimbo wa posta 47100. Inaunganisha miji ya kihistoria ya Ujiji na Kigoma. Manispaa hii ilikuwa na wakazi wapatao 215,458 wakati wa sensa ya mwaka 2012.[1] Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi walihesabiwa 232,388 [2].
Kigoma na Ujiji iko kando ya Ziwa Tanganyika, magharibi mwa Tanzania.