Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kiikizu

Kiikizu (pamoja na lahaja ya Kisizaki au Kishashi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waikizu. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiikizu-Sizaki imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiikizu-Sizaki iko katika kundi la E40.


Previous Page Next Page






Ikizu language English Ikizu (langue) French Ikizu OC Lenga Ikizu PMS Língua ikizu Portuguese Kiikizu SN

Responsive image

Responsive image