Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kikalabari
Kikalabari ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakalabari. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikalabari imehesabiwa kuwa watu 258,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalabari iko katika kundi la Kiijoidi.