Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kikono (Nigeria)
Kikono ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakono. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikono imehesabiwa kuwa watu 5520. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikono iko katika kundi la Kikainji.