Kiladino ni lugha ndogo ya jamii za Lugha za Kirumi katika jamii kubwa ya Lugha za Kihindi-Kiulaya. Inafanana na Kifriuli na Kiromansch.
Wasemaji ni kama 31,000 tu upande wa kaskazini wa Italia.