Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kimabaan
Kimabaan ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wamabaan. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimabaan imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimabaan iko katika kundi la Kinilotiki.