Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kimadura

Kimadura ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamadura kwenye visiwa vya Madura, Sapudi na Java. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimadura nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 6,770,000. Pia kuna wasemaji 900 nchini Singapuri. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimadura iko katika kundi la Kimadura yenyewe.


Previous Page Next Page