Kimbunga (au Kigangi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wambunga. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimbunga imehesabiwa kuwa watu 29,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbunga iko katika kundi la P10.