Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kinole

Maporomoko ya maji katika milima ya Uluguru karibu na Kinole.

Kinole ni kata ya Wilaya ya Morogoro Vijijini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67202.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 13,356 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,944 [2] walioishi humo.

Kwa jumla watu wa Kinole ni wakarimu sana. Wengi wao walikuwa wakitokea Amini: ndio walioanzisha jina la Kinole ambalo limetokana na jiwe la kunolea panga, visu na mundu.

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Morogoro - Morogoro DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-06-03.

Previous Page Next Page






Kinole CEB Kinole Italian

Responsive image

Responsive image