Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kinyore

Kinyore (au Olunyole) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wanyore, kabila moja la Waluyia. Ni lugha tofauti na Kinyole nchini Uganda. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kinyore imehesabiwa kuwa watu 311,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyore iko katika kundi la E30.


Previous Page Next Page






Nyole language (Kenya) English Lunyore French Nyole language (Kenya) HA Język nyuli Polish Lenga Nyore PMS Língua nyole (Quênia) Portuguese

Responsive image

Responsive image