Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kipimbwe
Kipimbwe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wapimbwe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kipimbwe imehesabiwa kuwa watu 29,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipimbwe iko katika kundi la M10.