Kishineu (kwa Kiromania Chişinău (matamshi kama mbele); kwa mwandiko wa kisirili Кишинэу, kwa Kirusi Кишинёв "Kishinyev") ni mji mkuu, pia mji mkubwa wa Moldova wenye wakazi 600,000.