Kisiwa cha Buluza ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe, mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania.
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.