Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kiungo (chakula)

Duka la viungo huko Moroko.

Kiungo cha chakula ni kiolezi kinachotia ladha au harufu maalumu katika chakula. Mifano yake ni chumvi, kitunguu, iliki, karafuu au pilipili.

Viungo vingi kwa asili ni mbegu, matunda, majani au mizizi ya mimea mbalimbali ambamo ladha inayotafutwa inapatikana.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiungo (chakula) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Previous Page Next Page






Spesery AF Especia AN بهار Arabic ليستة التوابل والبهارات ARZ Especie (sustancia) AST Manq'a sumachiri AY Ədviyyat AZ ادویات AZB Gwiaz BAR Rekado BCL

Responsive image

Responsive image