Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kiyawa
Kiyawa ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayawa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiyawa imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyawa iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.