Kodi
Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kodi
Kodi
(kutoka
neno
la
Kihindi
) ina maana
mbili
:
ushuru
unaodaiwa na serikali ya nchi (kwa
Kiingereza
:
tax
) na
pango
yaani pesa anazotozwa mtu anapopangishwa
nyumba
au
ardhi
(kwa Kiingereza:
rent
au
lease
).
Previous Page
Next Page