| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: Libertad y Orden "Uhuru na Utaratibu" | |||||
Wimbo wa taifa: Oh, Gloria Inmarcesible! Ewe heshima isiyouzika | |||||
Mji mkuu | Bogota | ||||
Mji mkubwa nchini | Bogota | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali | Jamhuri Iván Duque Márquez | ||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
20 Julai 1810 7 Agosti 1819 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,141,748 km² (ya 26) 8.8% | ||||
Idadi ya watu - Februari 2015 kadirio - 2005 sensa - Msongamano wa watu |
48,014,026 (ya 27) 42,888,592 40.74/km² (173) | ||||
Fedha | Peso ya Kolombia (COP )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-5) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .co | ||||
Kodi ya simu | +57
- |
Kolombia (kwa Kihispania: República de Colombia) ni nchi kwenye pembe la kaskazini la Amerika ya Kusini.
Imepakana na Venezuela, Brazil, Ekuador, Peru na Panama. Ina pwani mbili, kwenye Pasifiki na Atlantiki.
Jina la nchi limeteuliwa kwa heshima ya Kristoforo Kolumbus (Kihisp.: Cristóbal Colón; kwa Kiitalia: Cristoforo Colombo) aliyegundua njia kati ya Hispania na Amerika mwaka 1492.