Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Laela

Laela ni kata ya Wilaya ya Sumbawanga Vijijini katika Mkoa wa Rukwa, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 16,604 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,729 waishio humo.[2]

  1. https://www.nbs.go.tz, uk 150
  2. Sensa ya 2012, Rukwa - Laela

Previous Page Next Page






Laela Italian

Responsive image

Responsive image