Lhasa | |
Majiranukta: 29°39′55″N 91°7′2″E / 29.66528°N 91.11722°E | |
Mkoa wa kujitawala | Tibet |
---|---|
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 474,499 (2,000) |
Lhasa ni mji mkuu wa Tibet ya kihistoria na pia ya Mkoa wa kujitawala wa Tibet katika China. Kati ya wakazi wake 474,490 idadi kubwa, yaani 387,124 walikuwa Watibet, wengine Wachina.