Lugha za Kipama-Nyungan ni familia ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha takriban 300, yaani ni familia kubwa kabisa barani mwa Australia. Hata hivyo, lugha nyingi za Kipama-Nyungan zimeshatoweka au zimekaribia kutoweka hivi karibuni.