Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Lugha za Kislavoni

Kuhariri Lugha za Kislavoni



Lugha za Kislavoni ni kikundi cha lugha chenye asili ya Ulaya ya Mashariki. Jumla kuna wasemaji milioni 300 wanaosema lugha ya Kislavoni kama lugha ya mama pamoja na wengine 100 wanotumia lugha hizi kama lugha ya pili. Lugha hizi ni sehemu za familia ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Lugha za Kislavoni zenye wasemaji wengi ni Kirusi (milioni 140 wasemji kama lugha ya kwanza, wengine milioni 110 kama lugha ya pili), halafu Kiukraine na Kipoland (kila moja lenye wasemaji milioni 50).

Lugha hizi zapangwa kwa vikundi vitatu:


Previous Page Next Page