Sanamu ya mwandishi (Misri ya Kale).
Mitindo ya maandishi duniani
buluu: alfabeti ya Kilatini; kibichi: alfabeti ya Kiarabu; nyekundu: Kisirili; njano: mwandiko wa Kichina; kichungwa: miandiko ya Kihindi.
Maandishi (pia: maandiko) ni hati ambayo hushika sauti za lugha kwa njia ya alama zinazoandikwa.