Hii ni makala kuhusu |
Uislamu |
---|
* Kigezo:Portal-inline |
Madrasa (kutoka مدرسة, madrasah, neno la Kiarabu lenye maana ya shule, chuo au chuo kikuu [1]) katika Kiswahili ni mahali panapotolewa mafunzo ya Kurani kwa watoto wa Kiislamu. Mara nyingi yanapatikana karibu na mskiti.