Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Maia Sandu
Maia Sandu (alizaliwa 24 Mei1972) ni mwanasiasa wa Moldova ambaye amekuwa Rais wa Moldova tangu tarehe 24 Desemba2020. Ndiye mwanzilishi na kiongozi wa zamani wa Chama cha Kitendo na Mshikamano (PAS). Awali, alihudumu kama Waziri Mkuu wa Moldova kuanzia tarehe 8 Juni 2019 hadi 14 Novemba 2019, wakati serikali yake ilipoanguka baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na imani.[1][2][3]