Majimbo ya Ethiopia ni vitengo vikuu vya kujitawala chini ya ngazi ya kitaifa katika muundo wa shirikisho la Ethiopia.
Kuna majimbo 9 yanayogawiwa kwa msingi wa lugha kuu zinazotumiwa katika jimbo pamoja na majiji 2 yenye hadhi ya jimbo (astedader akababiwach, umoja: astedader akabibi) ambayo ni Addis Ababa na Dire Dawa.
Hii ni orodha ya Majimbo (wingi - kililoch; umoja – kilil) ya Ethiopia: